MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA PROF KABUDI NCHINI CHINA Matokeo ChanyA+ June 27, 2019 Tanzania MpyA+ Acha maoni 589 Imeonekana Meneja wa TANTRADE Ndugu Stephen Koberou akitoa maelezo juu ya bidhaa za Tanzania kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni na Naibu Waziri Mkuu wa China walipotembelea banda la Tanzania katika maonesho ya China-Africa Economic & Trade Expo jijini Changsha Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika banda la Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo, Beijing nchini China Chuo Kikuu cha Beijing Institute of Technology (BIT) kimesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Wakala wa Serikali Mtandao katika utafiti, mafunzo na ubunifu. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Rais wa BIT Prof Zhang Jun na Balozi Mbelwa Kairuki Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akitembelea wadau wa kahawa kutoka Tanzania walioshiriki katika siku ya Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo Beijing nchini China Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akitembelea wadau wa kahawa kutoka Tanzania walioshiriki katika siku ya Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo Beijing nc Mkurugenzi Wa Biashara wa Jimbo la Hubei Ndugu Chen Huasong Nchini China ameshiriki katika mkutano wa kuvutia uwekezaji kutoka Jimbo la Hubei uliofanyika pembezoni mwa mkutano wa kwanza wa China-Africa Economic Expo Waziri wa Mambo ya Nje Mhe Palamagamba Prof Kabudi afanya mazungumzo na Mkurugenzi Wa Biashara wa Jimbo la Hubei Ndugu Chen Huasong. Aidha, Mhe Kabudi ameshiriki katika mkutano wa kuvutia uwekezaji kutoka Jimbo la Hubei uliofanyika pembezoni mwa mkutano wa kwanza wa China-Africa Economic Expo Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest