Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza Ikulu jijini Dar es salaam leo.
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA
Matokeo ChanyA+
October 9, 2018
Tanzania MpyA+
746 Imeonekana
Unaweza kuangalia pia
Mafanikio ya Mufasa: The Lion King yamepata uzito mkubwa kutokana na mchango wa wataalamu wa Tanzania. Mtayarishaji …