RAIS MAGUFULI AENDELEE KUFUFUA UCHUMI NCHI HII IJITEGEMEE – DKT. MAUA DAFTARI

“(Rais Magufuli) Aendelee kufufua uchumi wa nchi hii tujitegemee. Kama tuna Rasilimali zote tulizonazo, kwanini bajeti yetu iwe ni ya kusaidiwa.. kwenye kikombe kuomba kwa watu; why!? Bajeti yetu itokane na makusanyo yetu! Na tunao uwezo wa kufanya hivyo! Anayetaka ku-invest (kuwekeza) aje a-invest.. kwenye agriculture (kilimo).. lakini na Watanzania wawemo. Waone linalofanyika. Acacia na wengine.., wavune tu wachukie wapeleke kwao si tuwatazame macho jamani!? Akisema Magufuli ni uongo..? ni vibaya? Unajua uko wapi? …. Ndio; Walipe! (Kodi na mirabaha ya serikali kama marekebisho ya sheria ya Madini nchini yanavyotaka)” – Dkt. Maua Daftari, Mhauri wa Rais wa Zanzibara 

Ad

Unaweza kuangalia pia

Na Haya Ni Maboresho Makubwa katika Sekta ya Afya Nchini Tanzania

Nchi yetu inajivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kwenye eneo hili ambapo pamoja na maboresho na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *