Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa mchoro na kupata maelezo ya itakavyokuwa Bandari Mpya ya Bagamoyo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Mhandisi Karim Mataka ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani.
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA ENEO LA MBEGANI ITAKAPOJENGWA BANDARI MPYA YA BAGAMAYO
Matokeo ChanyA+
October 25, 2018
Tanzania MpyA+
1,108 Imeonekana