Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80 Mkoani Geita.
Lengo la mgodi huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu uchimbaji sahihi na uchenjuaji bora wa madini ya dhahabu.
Ad
Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa ambao umejengwa mahsusi kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) unaosimamiwa na Wizara ya Nishati nchini.
Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa unajengwa na Serikali,Mgodi wa Almasi Mwadui na Migodi ya Busolwa Mining Ltd na Nsangano Gold Mine.
Ad