Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi.

Video; KIWANDA CHA KWANZA CHA KUTENGENEZA SMARTPHONE AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA NCHINI

 • Kampuni ya IPP imetangaza kuanza ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha kutengeneza simu janja maarufu kama smartphone, simu zitakazokuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa wiki moja na kwa wasiokuwa na umeme wanaweza chaji kwa nguvu ya Jua.
 • Kiwanda hicho kitakachokuwa cha kwanza nchini na Afrika Mashariki, kitajengwa eneo la Mikocheni jijini Dar es salaam, ambapo uwekezaji wake ukikadiriwa kuwa ni shilingi bilioni 11 na kitaanza uzalishaji ndani ya miezi mitatu ijayo, kikitarajia kuajiri takribani watu elfu mbili.
 • Akizungumza na wanahabari Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi amesema kiwanda hicho kitakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi na sehemu kubwa ya watakaoajiriwa ni watu wenye ulemavu.
 • Simu zitakazotengenezwa na IPP TouchMate zitakuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa wiki moja na lengo litakuwa ni kuendana na mazingira ya maisha halisi ya Tanzania“, amesema Dkt. Mengi.
 • Tayari ufungaji mitambo kwenye kiwanda hicho kitakachojulikana kama IPP TouchMate umeshaanza ambapo mbali ya simu, bidhaa nyingine zitakazotengenezwa ni pamoja na Tablet, Kompyuta mpakato, headphones pamoja na bidhaa za kielektroniki za majumbani pamoja na vipuri vyake.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Msalaba Mwekundu: Nguzo ya Kibinadamu na Ujenzi wa Jamii Imara

Msalaba Mwekundu, ambao ni sehemu ya Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, …

17 Maoni

 1. [url=http://enolvadex.online/]nolvadex 20mg price in india[/url]

 2. [url=https://modafinilon.online/]generic modafinil india[/url]

 3. darknet marketplace https://mydarkmarket.com/ – dark market 2024 darkmarkets

 4. [url=http://toradol.directory/]toradol 10mg tablets[/url]

 5. dark web sites https://mydarknetmarketlinks.com/ – tor dark web deep dark web

 6. black internet https://mydarknetmarketlinks.com/ – dark web markets the dark internet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *