Leo tarehe 30/10/2018 tumeanza kutumia chumba Kipya cha upasuaji kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi , idadi ya vyumba vya upasuaji MOI inaongezeka na kufikia 9. Idadi ya watoto wanaofanyiwa upasuaji inatarajiwa kuongezeka kutoka 6-8 hadi 20-25 kwa wiki.

TAASISI YA MIFUPA (MOI) IMEANZA KUTUMIA CHUMBA KIPYA CHA UPASUAJI

TAASISI YA MIFUPA MOI
Tarehe 30/10/2018 Taasisi ya Mifupa (MOI) imeanza  kutumia chumba Kipya cha upasuaji kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi , idadi ya vyumba vya upasuaji MOI imeongezeka na kufikia 9. Huku idadi ya watoto wanaofanyiwa upasuaji inatarajiwa kuongezeka kutoka sita mpaka nane hadi kufikia 20-25 kwa wiki.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, Chamwin

Tarehe 17 Mei, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *