Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimuRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimuRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akifanyiwa mahojiano na shirika la habari la CNN mara baada ya kumaliza kushiriki katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa pili kulia, akiwa na wajumbe wengine katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu