Maktaba ya Kila Siku: February 22, 2019

WAZIRI UMMY AWAPONGEZA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA – KIBAHA

Waziri wa Afya, Ustawi  wa Jamii, Jinsia,Wazee  na Watoto, Ummy  Mwalimu, amesema katika kila Sh. 100 ambayo Serikali inatumia kununua dawa nchini, Sh. 94 inapelekwa nje ya nchi kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo. Waziri Ummy alisema hayo jana wilayani Kibaha, Pwani wakati wa ziara yake ya kutembelea na …

Soma zaidi »

NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA ZA DHAMIRIA KUIMARISHA UCHUMI KWA KUUZIANA UMEME

Nchi zilizopo Mashariki mwa Afrika, zimedhamiria kwa nia moja kuimarisha uchumi wao kwa kuuziana umeme kupitia mifumo ya kusafirisha nishati hiyo, iliyounganishwa katika ukanda husika. Hayo yalibainishwa Februari 21 mwaka huu, katika Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri wanaohusika na umeme kutoka nchi za ukanda huo, ambazo zimeunganishiwa mifumo …

Soma zaidi »

UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WILAYA YA IGUNGA UMEFIKIA ASILIMIA 58

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Tabora ambapo atatembelea Wilaya zote saba (7) za  Igunga, Nzega, Uyui, Sikonge, Kaliua, Urambo na Tabora. Akiwa wilayani Igunga Makamu wa Rais alipokea taarifa ya utekelezaji ya mkoa liyosomwa na Mkuu wa mkoa huo Mhe. Aggrey Mwanri …

Soma zaidi »