Maktaba ya Kila Siku: February 28, 2019

PROF MBARAWA AHIMIZA JAMII KUSHIRIKI KULIENDELEZA BONDE LA MTO ZAMBEZI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa  Makame Mbarawa, amefungua Mkutano wa Saba wa Mawaziri wa Maji wa nchi nane  zilinazohusiana na Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission – ZAMCOM) na kuitaka jamii ya mataifa hayo kuona umuhimu wa kamisheni ya chombo hicho kuendelea kuimarika na kusimamia rasilimali za ZAMCOM …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS MTENDAJI MWANDAMIZI WA JICA KAZUHIKO KOSHIKAWA IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Februari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Naibu Waziri …

Soma zaidi »

MIPANGO YA SERIKALI KUHUSU GESI YA KUSINI IKO PALEPALE – MGALU

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka watanzania kuondoa shaka kuhusu mipango ya serikali kufuatia gesi iliyogunduliwa mikoa ya kusini, kwani haijabadilika na inaendelea kutekelezwa. Aliyasema hayo jana Februari 27, 2019 kijijini Ntauna, Kata ya Rondo, Lindi Vijijini, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya siku nne mkoani Lindi ambapo alikagua utekelezaji …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA HAKI ZA BINADAMU WA UMOJA WA MATAIFA BI. MICHELLE BACHELET JERIA

Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria Mjini Geneva, Uswisi. Prof. Kabudi amekutana na Kamishna wakati akihudhuria Kikao cha 40 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea …

Soma zaidi »

WAMILIKI WA VIWANDA VYA MISITU WAHAKIKISHIWA KUONGEZEWA MIKATABA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Mhe. Constantine Kanyasu amewahakikishia wamiliki wa viwanda vya misitu Tanzania kuwa atashughulikia ombi lao la kutaka kuongezewa muda wa mikataba yao kutoka  miaka miwili hadi  mitano ya kupewa mgao wa vitalu vya miti Pia ameahidi kuyafanyia kazi malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa ofisini kwake na wamiliki …

Soma zaidi »