Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KfW), imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 127.7, sawa na sh. bilioni 330, kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria katika mkoa wa Simiyu. Makubaliano ya msaada huo kupitia …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 3, 2019
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
LIVE:RAIS MAGUFULI ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI MKOANI MBEYA
RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA
LIVE:RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MAKTABA YA CHUO CHA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli anaendelea na ziara ya kikazi mkoani mbeya ambapo leo ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa maktaba katika chuo kikuu cha Teknolojia Mbeya pamoja na kuzindua upanuzi wa Kiwanda cha Mbeya CEMENT. Katika uzinduzi huo wapo viongozi mbalimbali wa …
Soma zaidi »WAKAZI WA MOROGORO WARIDHIA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA SUKARI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameridhika na uwekezaji wa kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari katika kata ya Mvuha iliyopo Morogoro Vijijini ambapo kampuni ya Morogoro Sugar inataraji kuwekeza. Akizungumza wakati wa mkutano wa Madiwani na Wenyeviti wa Vijiji tisa vilivyopo …
Soma zaidi »