Maktaba ya Mwezi: May 2019

SERIKALI KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU UN

Katika kutekeleza ajenda za Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), Serikali imejipanga kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari (VNR) katika Jukwaa la Siasa la Umoja wa Mataifa (HLPF) mwezi Julai mwaka huu mjini Newyork nchini Marekani. Hayo yameelezwa na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Bw. Adolf  Ndunguru wakati …

Soma zaidi »

SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWA BAADHI YA BIDHAA

Serikali imeendelea kutoa msamaha wa kodi kwa baadhi ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi na kutoza kodi zaidi kwenye bidhaa zinazoingia nchini ili kuhakikisha bidhaa za wazalishaji wa ndani zinalindwa. Akizungumza  Bungeni leo jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Injiania Stella Manyanya  alisema kuwa Serikali imeendelea kutoa msamaha wa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA RIPOTI YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua ripoti ya hali ya Hali ya Mazingira nchini Tanzania ambapo ripoti hiyo imetaja sababu mbalimbali ikiwemo ya kasi ya ongezeko la watu na ukuaji wa maendeleo unachangia kwa sehemu kubwa uharibifu wa mazingira. Akizungumza  Mei 6,2019 wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika …

Soma zaidi »