RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI

RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,7-5-2019
RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, katikatika Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe.Antonio Augusto Cesar.
RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo wakati akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na mazungumzo leo 7-5-2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA MADINI YA BARRICK

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *