Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubua baada ya baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa shilingi bilioni 3 kama Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na dola milioni moja mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA TSH. BILIONI 3 KAMA FIDIA NA DOLA MILIONI MOJA MCHANGO BINAFSI WA MWENYEKITI WA AIRTEL

JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waalikwa akishuhudia Jaji mstaafu, Harold Nsekela ambaye ni Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma akiwalisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP 2-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa kwa Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi wa Shilingi Bilioni 3 zikiwa ni Fidia kwa serikali ya miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kwa kila mwezi ya Kampuni ya Airtel kwa Serikali toka kwa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwa kutoa dola milioni moja kama mchango wake binafsi kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru, Ihumwa, Dodoma pamoja na shilingi bilioni tatu za Fidia ya mwezi miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kila mwezi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
JP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi ya dola milioni moja za Kimarekani toka kwa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal ukiwa kama mchango wake binafsi kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru, Ihumwa, Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

62 Maoni

  1. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  2. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  3. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  4. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  5. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  6. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  7. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  8. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  9. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  10. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  11. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *