Maktaba ya Kila Siku: August 23, 2019

BAIDU KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA NCHINI CHINA

  Katika Jitihada za kukuza utalii nchini Taasisi iliyopewa jukumu hilo yaani Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Nchini China, wamewezesha kampuni ya Beijing Pseacher Business na Baidu kuja nchini kutembelea na badaye kufanya kazi ya uzalishaji wa picha mjongeo(Film) na picha zitakazowekwa kwenye mtando wao wenye …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI ABAINISHA MKAKATI WA KUNUSURU UKOSEFU WA UMEME ULIOTOKEA KAGERA

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema serikali inatekeleza miradi kadhaa inayolenga kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kwa baadhi ya wilaya za Mkoa wa Kagera ambazo kwa sasa zinapata huduma ya umeme kutoka Uganda, ili kuzinusuru na adha iliyojitokeza hivi karibuni ya ukosefu wa umeme kwa takribani siku tatu. …

Soma zaidi »