Maktaba ya Mwezi: September 2019
LIVE: UTEUZI WA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA SERIKALI – IKULU DSM
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta …
Soma zaidi »MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI WANANCHAMA WA SADC, WA SEKTA YA TEHAMA, HABARI,UCHUKUZI NA HALI YA HEWA
WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA NCHI WANANCHAMA WA SADC
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA PIPE INDUSTRIES ENEO LA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA UWANJA WA NDEGE WA KIA
LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABOMBA YA PLASTIKI
LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE
MRADI WA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI MKOANI MTWARA KUOKOA MAZINGIRA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kuwa, mradi wa matumizi ya gesi majumbani ambao utazinduliwa hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara utasaidia kuepuka matumizi ya mkaa ambao licha ya kuharibu mazingira, husabisha maradhi mbali mbali. Alisema hayo, Septemba 14, 2019 kwa nyakati tofauti wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, alipokuwa …
Soma zaidi »