WAZIRI DKT. MWAKYEMBE AFUNGUA JUKWAA LA UTENGENEZAJI MAUDHUI NA USAMBAZAJI WA KAZI ZA SANAA (BDF) Matokeo ChanyA+ October 30, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 949 Imeonekana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Wengine ni Mtangazaji kutoka Clouds Media Group (Clouds Plus), Gift Swai (kushoto) na Isaya Kandonga (Kulia). Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa Mtangazaji wa Clouds Media Group(Clouds Plus), Isaya Kandonga kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akieleza jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest