Maktaba Kiungo: Michezo

WAZIRI MWAKYEMBE AWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi kujitokeza kuchangia ujenzi wa viwanja vya michezo ambavyo vitasaidia katika kuibua vipaji vya michezo kwa vijana. Mheshimiwa Mwakyembe ametoa kauli hiyo leo bungeni Jijini Dodoma alipokuwa kijibu swali la nyongeza kutoka kwa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SHONZA: WAZAZI NDIYO WALEZI WA KWANZA WA MTOTO

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amewataka wazazi na familia kuwa walezi wa kwanza kwenye jukumu la kumlea mtoto. Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la  Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mgeni Jadi Kadika (CUF) lilikokuwa likisema serikali haioni sasa ni …

Soma zaidi »

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTANGAZA UTALII KUPITIA AFCON U17

Serikali ya dhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda wakati wa kikao na Katibu …

Soma zaidi »

MCHEZAJI WA ZAMANI TIMU YA TAIFA PETER TINO AKABIDHIWA Tsh.MILLIONI 5 ALIZOPEWA NA RAIS MAGUFULI

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Peter Tino amekabidhiwa shilingi Milioni 5 alizopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake kwa Timu ya Taifa ya mwaka 1980 ambayo ilifuzu kuingia robo fainali ya Michuano ya …

Soma zaidi »