RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA SOKO KUU JIJINI DODOMA Matokeo ChanyA+ November 22, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,362 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mhe. Godwin Kunambi akitoa Maelezo kuhusiana na maendeleo ya Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni Muonekano wa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest