RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA POLISI JIJINI DODOMA

1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata Maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makati ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo
2-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma leo ametoa jengo la Kwa adili ya Makao Makuu ya na kukabidhi nyaraka za jengo hilo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na IGP Simon Sirro.
3-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya Nyumba za makazi ya askari baada ya kweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo. Pamoja naye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob Kingu na IGP Simon Sirro.
4-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola baada ya kweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.
5-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro baada ya kweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.
7-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata Maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makati ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo
8-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akiwasili eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo Tayari kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi

 

 

p3:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akifunua pazia
kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makaki ya
Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.

p4:

Ad

p5:

p6:

p7:

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *