WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA CHUO CHA UVUVI KUNDUCHI, JIJINI DAR ES SALAAM

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM), Jaji Mstaafu, Damian Lubuva , wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvivu, Luhaga Mpina, wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekeza jambo, wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielezewa jambo  wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa chakula samaki wanaofugwa kwa adili ya utafiti, kwenye Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia nyanya zilizopandwa katika kitalu nyumba, kwenye Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Walimu pamoja na Wanafunzi wa Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi, katika Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
10-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mwanafunzi anayesomea Udaktari wa Falsafa (PHD), Redempta Kajungilo, wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
11-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi, katika Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
12-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia samaki wanaofugwa kwa adili ya utafiti, kwenye maabara ya Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019. Kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvivu, Luhaga Mpina. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
13-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasayansi wa Maabara, katika Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam, Dkt. Shadrack Ulomi (kushoto), wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *