RAIS DK. SHEIN AZINDUA BOTI YA UVUVI YA KAMPUNI YA UVUVI ZANZIBAR (ZAFICO)

2-01
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Kilimmo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Dkt. Makame Ali Ussi.
3-01
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Nahodha wa Boti ya Uvuvi ya Sehewa Ndg. Rashid Abdalla Rashid, akiada ya uzinduzi huo uliofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
4-01
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Nahodha wa Boti ya Uvuvi ya Sehewa Ndg. Rashid Abdalla Rashid, akiada ya uzinduzi huo uliofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
5-01
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar.Ndg. Mussa Aboud Jumbe, akionesha aina ya samaki watakaovuliwa na Boti hiyo ya Kisasa ya Uvuvi ya Sehewa wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Desemba 2, 2019. Katika ufukwe wa bahari ya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA IKULU)
6-01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Ndg.Zahor Kassim Mohamed, wakati akitembelea Boti hiyo ya Sehewa baada ya kuizindua leo katika ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA(TCC) KUTOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA WATU WENYE ULEMAVU ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba utayari wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.