WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA MACHINJIO YA KISASA – VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakati akiwasili kwenye Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, Vingunguti jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mshauri wa Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Henry Mwoleka, wakati alipokagua mradi huo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, yaliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, yaliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa Mkandarasi wa Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Mhandisi Elisante Ulomi, wakati alipokagua mradi huo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Machinjio ya zamani yaliyopo Vingunguti, baada ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Afisa Mfawidhi wa Machinjio Vingunguti, Jihadhari Mgeni, wakati alipokagua machinjio hayo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua Machinjio ya zamani yaliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam, baada ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
10-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *