Wananchi wa maeneo ya vijijini ambao hawana uwezo wa kulipia shiingi 27,000 za kuunganishiwa umeme kwa mkupuo, sasa wanaweza kulipia huduma hiyo kwa kudunduliza kidogo kidogo. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani aliyasema hayo Disemba 3, 2019 kijijini Mnekezi, wilayani Chato, ambapo alikuwa akizungumza na wananchi kabla ya kuwasha rasmi …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
MADAKTARI BINGWA WA WATOTO WA TAASISI YA MOYO (JKCI) NA PROF. PAN XIANG BIN WAFANYA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA KUPITIA MSHIPA WA DAMU WA KWENYE PAJA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA MACHINJIO YA KISASA – VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
TANZANIA NA NAMIBIA ZAJIDHATITI KUKUZA SEKTA YA BIASHARA
Serikali ya Tanzania na ya Namibia zajidhatiti kukuza na kuendeleza kiwango cha biashara na uchumi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kati ya mataifa hayo. Makubaliano hayo yamefikiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wizara …
Soma zaidi »RAIS DK. SHEIN AZINDUA BOTI YA UVUVI YA KAMPUNI YA UVUVI ZANZIBAR (ZAFICO)
TANZANIA NA NAMIBIA WAJADILIANA KUHUSU SACREEE
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na Naibu Waziri wa Nishati wa Namibia, Kornelia Shilunga pamoja na ujumbe wake, wamekutana na kujadili kwa pamoja kuhusu Kituo cha Nishati Jadidifu na matumizi bora ya Nishati cha nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SACREEE). Mgalu alikutana na ujumbe huo, Desemba 2, 2019, uliofika …
Soma zaidi »MAKATIBU WAKUU SMT NA SMZ WAKUTANA ZANZIBAR
SERIKALI NA WIZARA YA MADINI KUSAINI MKATABA WA UTENDAJI KAZI
Mafunzo ya Mkataba wa Utendaji Kazi kwa Serikali na Taasisi za umma yameanza kufanyika kwa viongozi waandamizi wa wizara ya Madini, wakuu wa idara na vitengo na maafisa bajeti wa kila idara na kitengo kuhudhuria mafunzo hayo yanayotolewa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora …
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA JUU YA NJIA BORA ZA KUHUDUMIA MAJOKOFU NA VIYOYOZI BILA KUACHA KEMIKALI ANGANI.
TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE KWA WANANCHI
Serikali kupitia Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imenunua na kusimika mashine mbili za kisasa za huduma ya uchunguzi na tiba za kutibu saratani aina ya LINA na CT Simulator zenye thamani ya Tsh Bilioni 9.5/- hatua inayolenga kupunguza muda wa kusubiri tiba mionzi kutoka wiki sita hadi kufikia wiki …
Soma zaidi »