MAKATIBU WAKUU SMT NA SMZ WAKUTANA ZANZIBAR

22-01
Sehemu ya Makatibu wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) wakifuatilia kikao cha pamoja ana Makatibu wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawawkilishi Zanzibar.
33-01
Makatibu wakuu kutoka Serikali Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wakiwa katika kikao cha pamoja na Makatibu wakuu kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) kilichoketi katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
44-01
Katibu MKuu Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhandisi Joseph Nyamhanga akichangia katika kikao cha pamoja ana Makatibu wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika katika ukumbi wa Amani wa Baraza la Wawawilishi Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TUMEDHAMIRIA KUONGEZA WIGO UPASUAJI – DKT. KAJUNGU

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mkoani kilichopo mkoani Pwani katika Halmashuri ya Kibaha Mji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *