Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame tarehe 08 Machi, 2019 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 2 hapa nchini Tanzania na kurejea nchini kwake, baada ya hapo jana kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WARATIBU WA MIRADI YA ATOMIKI
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojiaa Profesa Joyce Ndalichako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kimataifa wa waratibu wa kitaifa wa miradi inayotekelezwa na Shirika la nguvu za Atomiki duniani kwa nchi 46 kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 15 mezi Machi jijini Arusha wenye lengo la kujadiliana …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA
WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA TBS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kujionea utendaji kazi wa shirika hilo. Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara hiyo jana Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki, Waziri wa Afya, Maendeleo ya …
Soma zaidi »TANZANIA INASHIKA NAMBA MOJA KWA KUWA NA SIMBA WENGI BARANI AFRIKA
Yapongeza juhudi za Serikali katika kukomesha ujangili Yazishauri nchi za Afrika kulinda na kuhifadhi wanyamapori AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika. Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania …
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Tukio hili linafanyika moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam Machi 7,2019
Soma zaidi »UJENZI WA HOSPTALI YA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA WATAKIWA KUKAMILIKA JUNI MWAKA HUU
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora(UYUI) umeagizwa kuongeza kasi katika ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ili ifikapo Juni mwishoni mwaka huu majengo yote waliyopangiwa yamewe yamekamilika. Agizo hilo limetolewa wilayani Uyui na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo baada ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AIPONGEZA TFDA KWA KUIFANYA TANZANIA KUWA YA KWANZA KATIKA UDHIBITI WA UBORA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) inafanya kazi zake vizuri na kuifanya Tanzania kwa nchi Kwanza katika udhibiti wa ubora wa dawa, vifaa, Tiba, vipodozi pamoja na vitendanishi. Waziri Mkuu Majaliwa aliyasema hayo wakati alipokwenda ziara ya kikazi katika Mamlaka hiyo amesema kuwa katika kufanya …
Soma zaidi »UMOJA WA ULAYA EU WATOA MAFUNZO YA UDHIBITI WA VYANZO VYA MIONZI KWA NCHI TANO ZA AFRIKA.
Umoja wa Ulaya EU umetoa mafunzo ya udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi kwa nchi tano za Afrika kwa lengo la kusaidia udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi bila kufuata utaratibu pamoja na utoroshwaji wa vyanzo vya mionzi vilivyoibiwa kwa matumizi yasiyo salaama na hatarishi. Washiriki wa mafunzo …
Soma zaidi »