TUNAWEKA MIKAKATI YA KUPANDA MITI ZAIDI YA MILIONI 1 KATIKA MLIMA KILIMANJARO – WAZIRI ZUNGU

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali inatarajia kuweka mikakati ya kupanda miti zaidi ya milioni moja kwenye eneo la Mlima Kilimanjaro ili kulinda barafu iliyopo nchini.
  • Pia amewataka wananchi kuacha tabia ya kukata miti na kuitumia kama fursa ya ufugaji nyuki akitahadharisha kuwa mamilioni ya hekta za misitu yamepotea katika kipindi cha mwaka 1990 hadi 2010 kutokana na ukataji miti ovyo.
  • Zungu ametoa kauli hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la nyongeza ya Mbunge wa Jimbo la Welezo Mhe. Saada Mkuya Salumu aliyetaka kujua mkakati gani wa Serikali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
22-01
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo.
  • “Mheshimiwa mwenyekiti nchi zilizoendelea zinaemit carbon na athari kubwa zinatokea kwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania na hivyo zinaharibu mazingira lakini zimekuwa zinasita kufinance kwenye climate change, Serikali yetu imejipangje kukabiliana na matatizo haya?,” aliuliza.
  • Akifafanua zaidi, Waziri Zungu alisema kuwa ni kweli baadhi ya nchi kubwa duniani zimejitoa kwenye mkataba wa tabianchi kutokana na maslahi yao binafsi na kuwa nchi zilizobakia zikiongozwa na Ufaransa na Qatar zimeanzisha Mfuko wa dola milioni 100 zitakazotolewa kwa nchi zitazohitaji kuboresha mazingira yao.
  • Alisema kuwa Tanzania imeshaanza mkakati wa kuziomba fedha hizo sambamba na kuandaa program mbalimbali za kuhakikisha nchi yetu inafaidika nazo na kulinda mazingira.
  • Aidha waziri huyo aliongeza kuwa Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa inaandaa mkakati wa kupanda miti katika kila wilaya zote za hapa nchini ili kuboresha mazingira.
33-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo.
  • “Kwa sasa tumeandaa mkakati wa kupanda miti kwa kila wilaya na si tu kupanda lakini na kuitunza ili isije ikafa kwani inapandwa kwa gharama kubwa na inakufa, halmashauri nyingi zinahamasika kupanda miti lakini baada ya muda mfupi inakufa. Tutaweka aina maalumu za miti kwa kila wilaya ambayo itafaa,” alifafanua.
  • Awali akijibu swali la msingi la Mbunge wa Jimbo la Ileje Mhe. Janet Mbene aliyeulitaka kujua ni lini Serikali itaanza kutoza ada kwa mkaa unaosafirishwa nchi za nje ili iweze kurejesha mazingira katika hali yake
  • Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Mussa Sima alisema kwa sasa Serikali haisafirishi mkaa unaotokana na miti kwenda nje ya nchi na gharama za kurejesha maeneo yaliyoharibika kutokana na shughuli za kibinadamu ikiwemo mkaa, zitatokana na mapato yanayopatikana kupitia tozo mbalimbali zilizoainishwa kwenye Sheria ya Misitu ya Mwaka 2002 ikiwepo asilimia 5 ya ushuru wa Halmashauri inayotozwa kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu.
  • Aidha, tozo nyingine zitatokana na tozo za ukaguzi wa biashara ya mkaa unaotokana na mabaki ya miti au mimea (briquettes) ambao unaruhusiwa kwenda nje ya nchi.
  • “Ni kweli uchomaji wa mkaa utokanao na miti kwa kiasi kikubwa unatumia miti ya asili pamoja na mapori ya akiba na ni dhahiri, ukataji wa miti hauendi sambamba na upandaji wa miti na hii ina athari kubwa sana kwenye mazingira yetu ikiwemo kuendelea kupotea kwa bioanuai, kupungua kwa mvua na kukauka kwa vyanzo vya maji,” alisema.
  • Naibu Waziri aliongeza kuwa biashara hiyo inafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Misitu ya Mwaka 2002, Kanuni za mwaka 2004 na Miongozo mbalimbali. Aidha, usafirishaji wa mkaa nje ya nchi umezuiliwa kwa mujibu wa kifungu namba 16 cha Sheria inayozuia Usafirishaji wa baadhi ya bidhaa nje ya nchi (The Exports Control Act, {CAP 381 R. E 200} pamoja na makatazo mengine.
  • Aliongeza kuwa Tangazo la Serikali Na. 417 la tarehe 24/05/2019 kifungu Na. 21 – (1) limetoa zuio kwa mtu yeyote kusafirisha mkaa kwenda nje ya nchi isipokuwa mkaa mbadala (charcoal briquettes) na kwa kibali maalumu kutoka kwa Waziri mwenye dhamana.

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

381 Maoni

  1. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, brankar spanelskeho klubu Real Madrid . V sezone 2010/11 byl uznan jako nejlepsi brankar v belgicke Pro League a take hrac roku pro Genk. Trojnasobny vitez Ricardo Zamora Trophy

  2. Virgil van Dijk https://virgil-van-dijk.prostoprosport-cz.org Nizozemsky fotbalista, stredni obrance, kapitan anglickeho klubu Liverpool a kapitan nizozemskeho narodniho tymu.

  3. Bruno Guimaraes Rodriguez Moura https://bruno-guimaraes.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista, defenzivni zaloznik Newcastlu United a Brazilsky narodni tym. Vitez olympijskych her 2020 v Tokiu.

  4. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

  5. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

  6. Darwin Gabriel Nunez Ribeiro https://darwin-nunez.prostoprosport-cz.org Uruguaysky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Liverpool a Uruguaysky narodni tym. Bronzovy medailista mistrovstvi Jizni Ameriky mezi mladeznickymi tymy.

  7. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelu-lukaku.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Chelsea a Belgican vyber. Na hostovani hraje za italsky klub Roma.

  8. проститутки москвы на выезд https://prostitutki-213.ru

  9. отчаянные домохозяйки онлайн бесплатно в хорошем качестве https://domohozyayki-serial.ru

  10. сайт казино рио бет регистрация рио бет казино

  11. официальный сайт Dragon Money https://trucktir.ru

  12. Большой выбор игровых автоматов, рабочее зеркало сайта https://fartunaplay.ru играть на реальные деньги онлайн

  13. Качественная и недорогая мебель для детской комнаты девочке лучшие цены, доставка и сборка.

  14. Pin Up casino https://pin-up.salexy.kz official website, Pin Up slot machines play for money online, Pin Up mirror working for today.

  15. Slot machines on the official website and mirrors of the Pin Up online casino https://pin-up.tr-kazakhstan.kz are available for free mode, and after registering at Pin Up Casino Ru you can play for money.

  16. Pin up entry to the official website. Play online casino Pin Up https://pin-up.prostoprosport.ru for real money. Register on the Pin Up Casino website and claim bonuses!

  17. Sports in Azerbaijan https://idman-xeberleri.com.az development and popular sports Azerbaijan is a country with rich sports traditions and outstanding achievements on the international stage.

  18. World of Games https://onlayn-oyunlar.com.az provides the latest news about online games, game reviews, gameplay and ideas, game tactics and tips. The most popular and spectacular

  19. The main sports news of Azerbaijan https://idman.com.az. Your premier source for the latest news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of everything happening in sports in Azerbaijan.

  20. UFC in Azerbaijan https://ufc.com.az news, schedule of fights and tournaments 2024, rating of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics.

  21. NHL (National Hockey League) News https://nhl.com.az the latest and greatest NHL news for today. Sports news – latest NHL news, standings, match results, online broadcasts.

  22. Latest news and analytics of the Premier League https://premier-league.com.az. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events. EPL Azerbaijan is the best place for football fans.

  23. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  24. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  25. Sergio Ramos Garcia https://sergio-ramos.com.az Spanish footballer, defender. Former Spanish national team player. He played for 16 seasons as a central defender for Real Madrid, where he captained for six seasons.

  26. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  27. Write more stories, more chapters.

  28. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  29. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  30. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  31. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  32. Latest news from World of Warcraft https://wow-kz.kz (WOW) tournaments, strategy and game analysis. The most detailed gaming portal in the language.

  33. NHL news https://nhl-ar.com (National Hockey League) – the latest and most up-to-date NHL news for today.

  34. Интернет магазин электроники и цифровой техники по доступным ценам. Доставка мобильной электроники по Москве и Московской области.

  35. Открытие для себя Ерлинг Хааланда https://manchestercity.erling-haaland-cz.com, a talented player of «Manchester City». Learn more about his skills, achievements and career growth.

  36. The path of 21-year-old Jude Bellingham https://realmadrid.jude-bellingham-cz.com from young talent to one of the most promising players in the world, reaching new heights with Dortmund and England.

  37. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  38. Промышленные насосы https://superomsk.ru/news/137099/pogrujne_nasos/ Wilo предлагают широкий ассортимент решений для различных отраслей промышленности, включая водоснабжение, отопление, вентиляцию, кондиционирование и многие другие. Благодаря своей высокой производительности и эффективности, насосы Wilo помогают снизить расходы на энергию и обслуживание, что делает их идеальным выбором для вашего бизнеса.

  39. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://syndyk.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  40. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  41. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  42. The story of Robert Lewandowski https://barcelona.robert-lewandowski-cz.com, his impressive journey from Poland to Barcelona, ??where he became not only a leader on the field, but also a source of inspiration for young players.

  43. The impact of the arrival of Cristiano Ronaldo https://annasr.cristiano-ronaldo-cz.com at Al-Nasr. From sporting triumphs to cultural changes in Saudi football.

  44. Find out how Pedro Gavi https://barcelona.gavi-cz.com helped Barcelona achieve success thanks to his unique qualities, technique and leadership, becoming a key player in the team.

  45. A fascinating story about how David Alaba https://realmadrid.david-alaba-cz.com after starting his career at the Austrian academy Vienna became a key player and leader of the legendary Real Madrid.

  46. The fascinating story of Marcus Rashford’s ascent https://manchester-united.marcus-rashford-cz.com to glory in the Red Devils: from a young talent to one of the key players of the team.

  47. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *