- Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Joseph kumburu amesema kuwa utaratibu mzuri uliowekwa kwenye usimamizi wa uzalishaji na biashara ya madini kwa wachimbaji wasio rasmi mkoani Shinyanga umepelekea Serikali kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 1.56 kama kodi ya mrabaha na ada ya ukaguzi kuanzia mwezi Mei, 2019 hadi Januari, 2020.
- Mhandisi Kumburu ameyasema hayo tarehe 05 Februari, 2020 kwenye ziara ya maafisa habari kutoka Idara ya Habari MAELEZO na Tume ya Madini yenye lengo la kutengeneza vipindi maalum vyenye kuelezea mafanikio ya masoko na vituo vya ununuzi wa madini katika mkoa wa Shinyanga tangu kuanzishwa kwake.
- Alisema kuwa mapema Mei, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alielekeza Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kuhakikisha inaweka utaratibu maalum wa kurasimisha maeneo ya Mwakitolyo yaliyopo mkoani Shinyanga kwa wachimbaji wadogo ili waweze kuchimba kwa kufuata Sheria ya Madini na kanuni zake na kulipa kodi mbalimbali Serikalini.
- Aliendelea kusema kuwa, Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga ilihamasisha wachimbaji wadogo wa madini kuunda vikundi vidogo ambapo jumla ya vikundi 23 viliundwa na kupewa leseni za uchimbaji mdogo wa madini.
- Alisema kuwa, kabla ya kuundwa kwa vikundi na kupewa leseni kwenye eneo hilo, Serikali ilikuwa haijawahi kupata kodi kutoka kwa wachimbaji wadogo wanaotumia mialo kwenye uzalishaji wa madini kwenye eneo hilo kwa sababu madini hayo yalikuwa yanatoroshwa.
- Katika kuhakikisha Ofisi yake inatatua changamoto hizo, Mhandisi Kumburu alieleza kuwa uliwekwa utaratibu maalum wa kuwasajili wachimbaji wadogo wanaomiliki mialo na kupewa fomu maalum za ukusanyaji wa kodi kabla ya madini hayo kupelekwa kwenye masoko ya madini.
- Alisema kuwa, fomu husika zililenga kuhakikisha kuwa usimamizi wa biashara ya madini unaanzia kwa mchimbaji kwenda kwa mmiliki wa mwalo ambaye hujaza fomu husika ili kupeleka madini sokoni.
- Akielezea mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini katika Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Kumburu alisema kabla ya kuanzishwa kwake, uzalishaji wa madini ya dhahabu ulikuwa ni kilo 231 kwa thamani ya shilingi bilioni 19.5 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 1.3 kililipwa kama mrabaha na ada ya ukaguzi na kuongeza kuwa, mara baada ya kuanzishwa kwa masoko ya madini mapema Mei 2019, madini yenye uzito wa kilo 329 yenye thamani ya shilingi bilioni 31.9 yaliuzwa na kiasi cha shilingi bilioni 2.2 kulipwa Serikalini kama mrabaha na ada ya ukaguzi.
- Aliongeza kuwa mafanikio mengine yaliyopatikana mara baada ya uanzishwaji wa masoko ya madini kuwa ni pamoja na udhibiti wa utoroshwaji wa madini hali iliyopelekea uzalishaji wa madini katika Mkoa wa Kimadini wa Kahama kuongezeka kutoka kilo 100 kwa mwaka hadi kilo 1572 tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini na kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 9.7 kama mrabaha na ada ya ukaguzi.
- “Ikumbukwe kuwa kabla ya kuanza kwa masoko ya madini katika Mkoa wa Kimadini wa Kahama tulikuwa tunakusanya jumla ya kiasi cha shilingi milioni 593.6 kwa mwaka, lakini baada ya masoko kuanzishwa hadi kufikia Januari, 2020 tumeweza kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 9.7 haya ni mafanikio makubwa,” alisema Mhandisi Kumburu.
- Wakati huohuo wakizungumza kwa nyakati tofauti wafanyabiashara wa madini katika Soko la Madini la Kahama na Kituo cha Ununuzi wa Madini cha Kakola mbali na kupongeza Serikali kupitia Wizara ya Madini kwenye uboreshaji wa Sheria ya Madini na kanuni zake walieleza kuwa, Sekta ya Madini imekuwa na manufaa makubwa sana kwao ikiwa ni pamoja na ongezeko la ajira.
- Akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara wa madini katika Soko la Madini la Kahama, Mwenyekiti wa wafanyabiashara hao, Emmanuel Kidenya alieleza kuwa kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo kulikuwepo na vikwazo mbalimbali kwenye biashara ya madini ikiwa ni pamoja na ukosefu wa soko la uhakika na kutokuwepo kwa bei elekezi.
- Alisema kuwa, mara baada ya kuanzishwa kwa soko husika, biashara ya madini imekuwa ni ya uhakika ambapo huuzwa kwa kufuata bei elekezi inayotolewa kila siku kulingana na soko la dunia na kupata faida kubwa.
- Aliongeza kuwa mafanikio mengine ni pamoja na usalama kwenye biashara ya madini, ongezeko la ajira na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha katika mji wa Kahama.
- Naye mnunuzi wa madini katika soko hilo, Kayo Ngarama aliongeza kuwa uanzishwaji wa soko husika umeongeza uwazi kwenye biashara ya madini hivyo wafanyabiashara wa madini na Serikali kwa ujumla kunufaika.
- Naye Kaimu Mwenyekiti wa madalali wa madini katika Kituo cha Ununuzi wa Madini cha Kakola, Baraka Shabani aliongeza kuwa uwepo wa masoko na vituo vya ununuzi wa madini katika Wilaya ya Kahama umepunguza kwa kiasi kikubwa utoroshwaji wa madini.NA ANDREW CHALE
Ad
Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.
The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.
Young Briton Lando Norris https://mclaren.lando-norris.cz is at the heart of McLaren’s Formula 1 renaissance, regularly achieving podium finishes and winning.
Activision and Call of Duty https://activision.call-of-duty.cz leading video game publisher and iconic shooter with a long history market dominance.
buy property montenegro https://montenegro-real-estate-prices.com
Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.
Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.
Latest World of Warcraft tournament news https://ar-wow.com (WOW), strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Arabic.
The latest analysis, reviews of https://spider-man-ar.com tournaments and the most interesting things from the “Spider-Man” series of games in Azerbaijani language. It’s all here!
NFL https://nfl-ar.com News, analysis and topics about the latest practices, victories and records. A portal that explores the most beautiful games in the NFL world in general.
Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.
Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience
Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.
Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.
Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).
Официальный сайт онлайн-казино Vavada https://vavada-kz-game.kz это новый адрес лучших слотов и джекпотов. Ознакомьтесь с бонусами и играйте на реальные деньги из Казахстана.
Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.
The official website where you can find everything about the career of Gianluigi Buffon https://gianluigi-buffon.com. Discover the story of this legendary goalkeeper who left his mark on football history and relive his achievements and unforgettable memories with us.
Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.
Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.
Latest news and information about Marcelo https://marselo-uz.com on this site! Find Marcelo’s biography, career, game stats and more.
A site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.uz, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.
If you are a fan of UFC https://ufc-hoje.com the most famous organization in the world, come visit us. The most important news and highlights from the UFC world await you on our website.
1 win bot http://www.1win.tr-kazakhstan.kz 1win video download https://www.1win.tr-kazakhstan.kz
The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.
Analysis of Arsenal’s impressive revival https://arsenal.bukayo-saka.biz under the leadership of Mikel Arteta and the key role of young star Bukayo Saki in the club’s return to the top.
Pedri’s story https://barcelona.pedri-fr.com from his youth in the Canary Islands to becoming a world-class star in Barcelona, ??with international success and recognition.
Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.
Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.
From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.
Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.
The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.
Neymar https://al-hilal.neymar-fr.com at Al-Hilal: his professionalism and talent inspire young people players, taking the club to new heights in Asian football.
Golden State Warriors success story https://golden-state-warriors.stephen-curry-fr.com Stephen Curry: From becoming a leader to creating a basketball dynasty that redefined the game.
Del Mar Energy Company is an international industrial holding company engaged in the extraction of oil, gas, and coal
The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.
Novak Djokovic’s https://tennis.novak-djokovic-fr.biz journey from childhood to the top of world tennis: early years, first victories, dominance and influence on the sport.
Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.
Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.
The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.
The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.
The powerful story of Conor McGregor’s https://ufc.conor-mcgregor-fr.biz rise to a two-division UFC championship that forever changed the landscape of mixed martial arts.
The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.
The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.
The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.
Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.
The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.
The story of Joe Biden’s https://president-of-the-usa.joe-biden-fr.com triumphant journey, overcoming many obstacles on his path to the White House and becoming the 46th President of the United States.
Une ascension fulgurante au pouvoir Donald Trump https://usa.donald-trump-fr.com et son empire commercial
Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.