Maktaba ya Kila Siku: May 13, 2020

SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …

Soma zaidi »

UJENZI KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU WASHIKA KASI MKOANI MWANZA

Mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini ya dhahabu nchini umeshika kasi huku ujenzi wake ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Septemba 2020 na kuifanya dhahabu ya Tanzania kusafirishwa ikiwa tayari imechakatwa na hivyo kuongeza thamani ya madini hayo katika soko la dunia.Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza rasmi mwezi Machi, 2020 …

Soma zaidi »

TANESCO KUTUMIA BIL.1.2 KUBORESHA UMEME KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa serikali imetenga shilingi za kitanzania Bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaokuwa ukitumiwa na kiwanda cha sukari peke yake, katika kuendesha shughuli za uzalishaji.  Amesema hayao alipotembelea kiwanda cha Sukari Mtibwa, ambapo amesema kuwa njia hiyo ya …

Soma zaidi »