Maktaba ya Kila Siku: May 23, 2020

SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri …

Soma zaidi »

UJENZI WA MV MWANZA UNATARAJIWA KUKAMILIKA MAPEMA 2021

Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Fundi akiwa kazini Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ukiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Mafundi wakiendelea na Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Kazi hiyo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA KATA YA SUNYA

NA SAKINA ABDULMASOUD,KITETO. “Siku moja nilimshuhudia mama mmoja alikuwa mjamzito,alianza kuumwa tukataka kumpeleka hospitali,tulihangaika usafiri kwa watu mpaka tunakuja kuupata yule mama alishahangaika sana kwa uchungu,lakini tunamshukuru Mungu tulimfikisha na alijifungua salama,”ni Sefae Zibani mkazi wa Kata ya Sunya mkoani Manyara. Mkazi huyo na wenzake wanarudisha nyuma kumbukumbu wakati wakitembea …

Soma zaidi »

MANYANYA AAGIZA BIDHAA ZA SAMAKI ZOTE ZINAZIUZWA NJE YA NCHI KUWEKEWA ALAMA AU MAELEZO KUONESHA KUWA NI BIDHAA KUTOKA TANZANIA

Na Eliud Rwechungura Wizara ya Viwanda na Biashara Ikiwa ni siku moja baada ya Ndege ya Ethiopia Airlines kuanza kufanya safari zake katika mkoa wa Mwanza kwa ajiri ya kubeba minofu ya  samaki inayovuliwa katika ziwa victoria na kuchakatwa na viwanda vilivyopo mkoa wa Mwanza, Naibu Waziri wa Viwanda na …

Soma zaidi »