BAJETI YA SERIKALI KUSOMWA TAREHE 11 JUNI NA BUNGE KUVUNJWA TAREHE 19 JUNI, 2020 Matokeo ChanyA+ May 18, 2020 BUNGE LA TANZANIA Acha maoni 983 Imeonekana Spika Ndugai akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo amesema kuwa mabadiliko ya ratiba ya Bunge yamefanyika ili usomaji wa Bajeti ya Serikali uwe wakati mmoja na wa nchi zingine za Afrika Mashariki ambapo Bajeti ya Serikali itasomwa tarehe 11 Juni na Bunge kuvunjwa tarehe 19 Juni, 2020. Wajumbe kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa ili kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest