BODI YA MIKOPO YATOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA TCU KATIKA VIWANJA VYA TCU

3. Mkurugenzi Msaidizi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Sarah Fihavango akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Prof. William Anangisye kulia akizungumza na wakurugenzi wasaidizi wa HESLB (kushoto) Sarah Fihavango na Omega Ngole katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.
5. Afisa Mikopo Mwandamizi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Saleko Mandara akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.
6. Afisa Mikopo wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Goodluck Goda akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.
Ad

Unaweza kuangalia pia

KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.