MELI YA ABIRIA MV MBEYA II KUANZA SAFARI LEO

Meli ya abiria ya Mv Mbeya II, leo tarehe 5 Oktoba, 2020 inaanza safari yake ya kwanza ya kutoka bandari ya Itungi kwenda Mbamba bay.

Meli hiyo itapita katika bandari za Matema, Lupingu, Manda, Ndumbi, Liuli, na Mbamba bay.

Ad

Ambapo maandalizi yote yamekamilika meli inaanza safari asubuhi hii, kuanza kwa safari hizo kutatua changamoto ya usafiri katika Ziwa Nyasa wa kutoka Itungi kwenda Mbamba bay.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, Chamwin

Tarehe 17 Mei, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *