KUBORESHWA KWA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO KUTAWAONGEZEA WIGO WA BIASHARA

Na. Jovina Bujulu-MAELEZO

Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli amezindua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa mwezi Oktoba, ambapo alichaguliwa kuiongoza nchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Ad

Katika hotuba yake ya uzinduzi, Rais Magufuli alionyesha dira, falsafa, mwelekeo na vipaumbele vya nchi katika kipindi cha uongozi wake wa miaka mitano. Pamoja na mengi aliyozungumzia , Rais aliahidi kuboresha vitambulisho vya wajasiriamali ili waweze kutambulika rasmi na kuweza kupata mikopo katika taasisi za fedha hapa nchini.

Rais Magufuli alisema kuwa, kama alivyoahidi wakati wa kampeni kwamba katika kipindi cha uongozi wake wa miaka mitano ijayo, Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya kufanya biashara kwa wajasiriamali wadogo, machinga, mama lishe, baba lishe waendesha boda boda na bajaji.

Tangu ilipoingia madarakani, Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kuwatambua rasmi wajasiriamali wadogo nchini pote kwa kuwapatia vitambulisho ambavyo vilikuwa vinalipiwa shilingi 20,000 kwa mwaka. Utambuzi huo uliwapa uhuru wajasiriamali hao wadogo kufanya biashara zao bila kubugudhiwa na mtu au mamlaka yoyote hivyo kujiongezea kipato.

Muonekano wa kitambulisho cha Mjasiriamali

Vitambulisho hivyo vya awali vilitolewa na Rais Magufuli mwaka 2018, ambapo jumla ya vitambulisho 670,000 vilitolewa na kuwawezesha wafanyabiashara ndogo ndogo kutambulika nchini na kuhakikisha wanafanya shughuli zao bila kusumbuliwa na kama ilivyokuwa awali ambapo walikuwa wanasumbuliwa sana na mamlaka mbalimbali za miji na halmashauri.

Katika utaratibu wa awali, kila mkoa ulipewa vitambulisho 25,000, ambapo kila mjasiriamali aliyekihitaji alikilipia na pesa ilipelekwa TRA na vilikuwa vinatolewa kwa hiari. Utaratibu huo ulimwezesha kila Mkuu wa Mkoa kukusanya shilingi milioni 500 ambazo ni mchango wa sekta hiyo ya wafanyabiashara.

“Miaka mitano iliyopita tulianzisha utaratibu wa kutoa vitambulisha maalum kwa wajasiriamali wetu wadogo, tunakusudia kuviboresha vitambulisho hivyo kwa kuweka picha na taarifa nyingine muhimu kama ilivyo kwenye vitambulisho vya Taifa (NIDA) na kwenye Hati za kusafiria(Pasipoti)”, alisema Rais Magufuli.

Kuboreshwa kwa vitambulisho hivyo kutakuwa ni fursa nyingine muhimu kwani wataweza kukua na kutajirika na kuondokana na dhana ya kuwa wafanyabiashara wadogo ambapo hii itawezekana kwa sababu wataweza kutambulika kwenye taasisi za fedha na kuweza kupata mikopo kwa ajili ya kukuza biashara.

Aidha, kutokana na maboresho hayo wajasiriamali hao wataweza kukuza mitaji yao kwa kuwa sasa watakuwa na uwezo wa kukopa na kuweza kupanua biashara zao nchi nzima. Hivyo ni wakati muafaka kwao kukuza na kupanua biashara zao kwa sababu ya uwezo wao wa kuongeza mtaji utakuwa umerahisishwa.

Endapo wajasiriamali hao wataitumia fursa hii ipasavyo  mbali na kuweza kupata mikopo ya biashara , wataweza pia kupata mikopo mikubwa ambayo itawanasua katika umaskini ikiwa ni pamoja na kubadilisha biashara zao kutoka kuwa ndogo ndogo na kuwa za kati hadi za juu.

Vitambulisho hivyo pia vitawafanya wajiamini zaidi ikiwa ni pamoja nakuongeza bidii  katika shughuli zao kwani sasa wataweza  kukopesheka kutokana na kuwa na vitambulisho hivyo vilivyoboreshwa. Hivyo wafanya biashara hawana budi kuchangamkia fursa hii kwa kuhakikisha kuwa wanavipata pale vitakapokuwa vimeanza kulipiwa.

Kufuatia kauli ya Rais kuhusu kuboresha vitambulisho hivyo wajasiriamali wameonesha kufurahishwa na hatua hiyo na kusema kuwa sasa ni wakati  wa kukuza mitaji yao na kuinuka kiuchumi. Mama Lishe, Mwajuma Salum wa soko la Mwananyamala amesema kuwa, “ Rais Magufuli kweli ni mkombozi wa wanyonge, miaka yake mitano ya mwanzo alitupatia vitambulisho na hivyo kutuwezesha kufanya biashara zetu kwa amani bila kusumbuliwa na mtu yeyote, sasa  amesema ataboresha vitambulisho hivyo ili tuweze kukopesheka,  Mungu amlinde”.

Naye muuza matunda katika eneo la Afrika Sana Sinza, Mary Zephania amesema, “ Vitambulisho vikiboreshwa na nikapata cha kwangu hatua ya kwanza nitakwenda kuomba mkopo ili nikuze mtaji wa biashara yangu ili ikiwezekana niweze kusafirisha matunda hata nje ya nchi”.

Baadhi ya wafanyabishara wadogo wadogo wa soko la Manzese wamesema kuwa wana imani na Serikali ya Rais Magufuli ambayo wakati wote ina dhamira ya kuwaondoa katika umaskini, maana tangu Rais aingie madarakani amekuwa akihimiza kuondolewa changamoto mbalimbali zinazowakabili wajasiriamali.

Tangu kuingia madarakani mwaka 2015, Rais Magufuli amechukua hatua mbalimbali za kuimarisha uchumi na kuwakomboa wananchi kutoka katika umaskini na kuwawezesha kufanya biashara bila kusumbuliwa ili kuwafanya wawe matajiri. Aidha katika hotuba yake kwa Bunge la 12, ameendelea kusema kuwa Serikali atakayoiunda itaendeleza jitihada za kukuza uchumi.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Askofu Dkt Maasa OleGabriel RAIS SAMIA ANATEKELEZA MAAGIZO YA MUNGU YA KUITUNZA BUSTANI YA EDENI

Askofu Dkt. Maasa OleGabriel Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na Askofu wa …

76 Maoni

  1. buying prescription drugs in mexico: mexico drug stores pharmacies – mexican pharmacy

  2. medication from mexico pharmacy: mexico pharmacies prescription drugs – buying prescription drugs in mexico
    http://canadapharmast.com/# 77 canadian pharmacy
    indian pharmacies safe top 10 online pharmacy in india best online pharmacy india

  3. cheapest online pharmacy india: indianpharmacy com – п»їlegitimate online pharmacies india

  4. mexican online pharmacies prescription drugs: mexican pharmaceuticals online – mexican pharmacy

  5. can you buy clomid now: where can i buy generic clomid pill – can you buy clomid without insurance
    https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin for sale
    paxlovid india paxlovid cost without insurance paxlovid covid

  6. ciprofloxacin order online: cipro pharmacy – ciprofloxacin over the counter
    http://ciprodelivery.pro/# buy generic ciprofloxacin

  7. https://ciprodelivery.pro/# п»їcipro generic
    amoxicillin 825 mg where to buy amoxicillin order amoxicillin online no prescription

  8. cipro pharmacy: antibiotics cipro – buy cipro cheap

  9. order doxycycline online uk: buy online doxycycline without prescription – buy doxycycline 100mg capsule
    https://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin order online
    buy generic ciprofloxacin cipro 500mg best prices cipro

  10. can you buy doxycycline online: can you buy doxycycline over the counter in india – doxycycline 100mg cost in india
    https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid cost without insurance

  11. https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid covid
    order clomid pills where to get generic clomid without prescription where can i get clomid now

  12. https://clomiddelivery.pro/# can you get clomid without a prescription

  13. Paxlovid buy online: paxlovid covid – paxlovid price

  14. amoxicillin over the counter in canada: where can you buy amoxicillin over the counter – amoxicillin generic
    https://ciprodelivery.pro/# п»їcipro generic
    buy amoxicillin online with paypal amoxicillin 500 mg capsule amoxicillin 500 tablet

  15. buy generic ciprofloxacin: buy cipro online canada – cipro
    http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin over the counter

  16. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 100mg best price
    buy cipro online buy ciprofloxacin ciprofloxacin mail online

  17. cipro ciprofloxacin: where can i buy cipro online – ciprofloxacin
    http://clomiddelivery.pro/# order generic clomid for sale

  18. doxycycline 50 mg cap: cost of doxycycline 50 mg – buy doxycycline in india

  19. http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin generic price
    amoxicillin order online no prescription amoxicillin 500mg capsule buy online amoxicillin 500 tablet

  20. http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 100mg capsules price

  21. how can i get clomid online: cost of cheap clomid pills – how to get generic clomid price
    https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin order online no prescription
    Paxlovid over the counter Paxlovid over the counter paxlovid pharmacy

  22. order cheap clomid pills: how to buy cheap clomid online – buy cheap clomid without dr prescription
    https://paxloviddelivery.pro/# п»їpaxlovid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *