Maktaba ya Kila Siku: November 30, 2020

WANANCHI WILAYANI NANYUMBU WAIPONGEZA TARURA KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Na. Thereza Chimagu Wananchi wa Vijiji vya Makong’ondela, Pachani na Kilimanihewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wamepongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya barabara, madaraja, vivuko na mitaro wilayani hapo ikiwa ni sehemu ya kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU TOZO YA UNYAUFU, AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURURGENZI MKUU BODI YA MAGHALA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Waendesha Maghala kuacha kukata tozo ya unyaufu kwenye zao la korosho kwa wakulima na wanunuzi kwa kuwa tozo hiyo imeshaondolewa na suala la unyaufu halijthibitishwa kitaalamu. Ametoa agizo hilo Jumamosi (Novemba 18,2020) wakati wa kikao kati yake na Wakuu wa Mikoa ya Pwani, Lindi , …

Soma zaidi »

UJENZI WA STESHENI YA MOROGORO YA RELI YA KISASA (SGR) UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 70

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Jumapili Novemba 29, 2020, amewaongoza Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kukagua ujenzi wa stesheni ya Morogoro ya Reli ya Kisasa (SGR). Katika ziara hiyo, Dkt. Abbasi alieleza kuridhishwa na kasi …

Soma zaidi »