RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka taratibu na sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.Rais Dk Hussein Mwinyi ameyasema hayo leo Ikuku Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2020
HESLB YATOA AWAMU YA TATU YA MIKOPO YA TZS BILIONI 11.04 KWA WANAFUNZI WAPYA 3,544
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya Awamu ya tatu yenye jumla ya wanafunzi wapya 3,544 waliopangiwa mikopo kwa mara ya kwanza katika mwaka wa masomo 2020/2021 yenye thamani ya TZS 11.04 bilioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Jumanne Desemba Mosi, 2020 …
Soma zaidi »TARURA INAVYOTATUA KERO ZA WANANCHI MANISPAA YA LINDI
Na. Bebi Kapenya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeendelea kusimamia na kufanya ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi. Meneja wa TARURA Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Mhandisi Lusekelo Mwakyami alisema kuwa wameshakamilisha ujenzi wa barabara kwa …
Soma zaidi »CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIMKAKATI
China imesema itafanya kazi kwa ukaribu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 ili kuiwezesha Tanzania kupiga kwa haraka hatua za kimaendeleo kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamo katika barua ya pongezi iliyotumwa na Waziri wa Mambo ya Nje …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AKUTANA NA MABALOZI WA CHINA,FINLAND NA SWEDEN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa Nchini Mhe Anders Sjoberg.Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam. Waziri wa …
Soma zaidi »MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA WANANCHI WA KATA YA BWILINGU NA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi wa Bwilngu Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake jimboni hapo kwa kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Bwilingu. Akizungumza katika kueleza nia ya ziara hiyo amesema kuwa dhamira ya ziara hiyo …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE ATAMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini …
Soma zaidi »MADINI KUCHANGIA MABILIONI PATO LA TAIFA
Na Jonas Kamaleki, MAELEZO Tanzania imejaliwa kuwa na maliasili nyingi zinazoweza kuifanya nchi hii kuondokana kabisa na umasikini na utegemezi, hivyo kujiendesha bila kutegemea misaada toka nje ya nchi. Licha ya kuwa na hifadhi za taifa za wanyama, bahari, maziwa, mito na milima na mabonde, nchi hii imejaliwa pia kuwa …
Soma zaidi »WANANCHI WILAYANI NANYUMBU WAIPONGEZA TARURA KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU
Na. Thereza Chimagu Wananchi wa Vijiji vya Makong’ondela, Pachani na Kilimanihewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wamepongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya barabara, madaraja, vivuko na mitaro wilayani hapo ikiwa ni sehemu ya kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU TOZO YA UNYAUFU, AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURURGENZI MKUU BODI YA MAGHALA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Waendesha Maghala kuacha kukata tozo ya unyaufu kwenye zao la korosho kwa wakulima na wanunuzi kwa kuwa tozo hiyo imeshaondolewa na suala la unyaufu halijthibitishwa kitaalamu. Ametoa agizo hilo Jumamosi (Novemba 18,2020) wakati wa kikao kati yake na Wakuu wa Mikoa ya Pwani, Lindi , …
Soma zaidi »