Maktaba ya Mwaka: 2020

WAITARA ATETA NA WAFANYABIASHARA CHUMA CHAKAVU, ARIDHISHWA KIWANDA CHA KUREJELEZA CHUPA ZA PLASTIKI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa chuma chakavu wa jijini Mwanza aliofanya kikao nao kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutoa elimu ya utaratibu wa vibali. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara amewataka …

Soma zaidi »

BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME

Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …

Soma zaidi »

SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI – DKT MWIGULU NCHEMBA

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa …

Soma zaidi »

NIMEDHAMIRIA KUENDELEZA JITIHADA ZA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZILIZOBAKIA – WAZIRI UMMY MWALIMU

Na Lulu Mussa, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu hii amefanya ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Rais …

Soma zaidi »

HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE

Hospitali ya Sanitas yapewa siku saba kukamilisha malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wake agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, …

Soma zaidi »

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT MWIGULU AAGIZA RITA KUHAMIA DODOMA

Serikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka kuhakikisha unahamia Jijini Dodoma. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba tarehe 21 Disemba 2020 wakati akizungumza na watumishi wa taasisi hiyo akiwa katika …

Soma zaidi »

LUKUVI AAGIZA CHUO CHA ARDHI MOROGORO KUTAFUTA GHARAMA HALISI YA URASIMISHAJI MAKAZI

Na Munir Shemweta, ARUSHAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemuagiza Mkuu wa Chuo cha Ardhi Morogoro Huruma Lugala kukokotoa gharama halisi za uendeshaji zoezi la urasimishaji ili aweze kupanga bei ya urasimishaji anayopaswa kulipa kila wananchi. Lukuvi ametoa agizo hilo tarehe 21 Desemba jijini Arusha alipokwenda …

Soma zaidi »