Jengo la kuendeshea mitambo na udhibiti midaki (Scanner) kubwa na ya kisasa Afrika ya kukagua mizigo inayopita katika Bandari ya Dar Es Salaam, lilivyoonekana wakati wa ziara Wajumbe wa Kamati ya usimamizi wa Mradi wa uboreshaji wa Taasisi za usimamizi wa Rasilimali Asilia na Ukusanyaji wa Mapato (PSC) unayofadhiliwa na …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2020
WAZIRI LUKUVI APOKEA MSAADA WA COMPYUTA 10 KUTOKA BENKI YA AZANIA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya milioni 12 kutoka Benki ya Azania. Msaada huo ulipokelewa leo tarehe 10 Julai 2020 katika ofisi za ardhi mkoa wa Dodoma na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa …
Soma zaidi »AGIZO LA RAIS DKT MAGUFULI LAANZA KUTEKELEZWA MKOANI MOROGORO
Wananchi wa eneo la Ilonga Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamemshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kutekeleza ahadi yake ya kuunda kamati maalum ya kutatua kero za migogoro ya ardhi inayosababisha maafa kwa wananchi pamoja na ukosefu wa huduma za afya baada ya mmojawapo wa wajumbe wa kamati hiyo kufika katika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEUA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Julai, 2020 amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General) Kabla ya uteuzi huo Bw. Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na anachukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba. Wakati huo …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEUA MKUU WA WILAYA, MKURUGENZI NA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Mkurugenzi Mtendaji 1, kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora. Kabla ya …
Soma zaidi »“KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA UHAKIKA NI JUKUMU LETU”- PROF. MAKUBI
Na. WAMJW-Dodoma Serikali imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji na uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya za uhakika na wakati. Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakati akifungua kikao kati ya Wizara ya …
Soma zaidi »TAASISI YA BENJAMINI MKAPA (BMF) YAAJIRI WATU 575
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru akizungumza na na baadhi wataalamu wa afya waliopata ajira ya muda kupitia taasisi ya Benjamin Mkapa Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia ufadhili wa mashirika ya Maendeleo ya Irish Aid, UKAID-DFID na UNFPA, imeajiri watumishi wa kada mbalimbali za afya 575 …
Soma zaidi »MFUMUKO WA BEI MWEZI JUNI WAENDELEA KUWA ASILIMIA 3.2
Na Mwandishi Wetu- MAELEZO Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa …
Soma zaidi »UWEKEZAJI MIRADI SEKTA YA VIWANDA UNAAKSI SERA YA TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA – MWAMBE
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mwambe amesema miundimbinu iliyojengwa na Serikali …
Soma zaidi »WAZIRI DKT. KALEMANI AWACHARUKIA WANAOTOZA BEI KUBWA ZA UMEME
Veronica Simba – Sengerema Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, ametoa onyo kali kwa wazalishaji binafsi wa umeme, wanaowatoza wananchi gharama kubwa tofauti na bei elekezi ya Serikali. Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kahunda, wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Julai 7, 2020, Waziri alisisitiza kuwa gharama stahiki ya umeme …
Soma zaidi »