Maktaba ya Mwezi: February 2021

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO YA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA PAMOJA NA MIRADI MINGINE YA JESHI HILO MKOANI DODOMA

Taaswira ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Maafisa na Askari Magereza mara baada ya kufungua Majengo ya Makao Makuu ya Jeshi hilo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

BALOZI BRIGEDIA GENERALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI LUVANDA

Balozi Brigedia Generali Wilbert Ibuge,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India katika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma.   Mazungumzo hayo yalilenga kubadilishana mawazo na uzoefu baina yao kuhusu masuala mbalimbali …

Soma zaidi »

AGIZO LA WAZIRI NDAKI LAZIDI KUSHIKA KASI, WENGINE ZAIDI MBARONI, UTOROSHAJI WA MIFUGO

Na. Edward Kondela Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo maeneo ya mipakani. Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa (02.02.2021), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa …

Soma zaidi »

TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZA AHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO

Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo.  hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine …

Soma zaidi »

WIZARA YA MAWASILIANO YAWAKABIDHI WAKANDARASI MIKATABA YA SHILINGI BILIONI 7.5

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (wa tatu kulia) akishuhudia Makabidhiano ya mkataba ya kazi ya ujenzi, uwekaji na usimikaji wa majina ya mitaa/barabara na namba za nyumba katika halmashauri 12 nchini, baina ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula(wa tatu kushoto) na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAKA KISWAHILI KUTUMIKA MAHAKAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo …

Soma zaidi »