JIMBO LA CHALINZE KUJENGWA KITUO CHA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA

Na. Andrew Chale, Chalinze

Jimbo la Chalinze linatarajiwa kujengwa jengo la kituo cha huduma za Matibabu ya Dharura ‘Emergency Department’ litakalosaidia Watanzania mbalimbali ikiwemo wa wanaotoka Mikoa jirani ikiwemo ya Tanga, Morogoro, Dar es Salaam pamoja na Pwani kupatiwa huduma za haraka na za kibingwa pindi wapatapo shida za ajali ama majanga.

Ad

Hayo ameyasema Mbunge wa Jimbo hilo, Ridhiwani Kikwete wakati wa kukagua eneo litakalojengwa jengo hilo la mradi huo kwa udhamini wa Shirika la About Fund Tanzania,

ujenzi unaotarajiwa kujengwa eneo la viunga vya Hospitali ya Msoga, Halmshauri ya Chalinze.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete

“Niwashukuru sana Abbott Fund Tanzania kwa jambo kubwa ambalo wamekuja kutufanyia hapa.

Imekuwa ni kilio cha muda mrefu, kama mnavyofahamu watanzania wengi hasa wanaotoka njia hii ya Tanga, lakini pia wanaotoka njia ya Morogoro kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakipata tabu sana hasa wanapopata matatizo ya kiafya au hata ajali kwa mfano watu wa Tanga wanapopita Kabuku na watu wa upande wa Morogoro wanapoondoka Morogoro, wanapopata shida ya kiafya, Hospitali za karibu zimekuwa mbali sana kwao.

Kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, Serikali ilielekeza Halmashauri ya Chalinze, pamoja na kujiandaa kupokea Wilaya lakini ijiandae kuwa sehemu ya ‘center’ itakayotoa huduma hizo,

hivyo Serikali ilianza kwa kutupatia pesa, kama mnakumbuka zamani hapa kulikuwa na kituo cha afya, lakini serikali ikatoa pesa kukiongeza hadhi kituo hiki kiwe Hospitali.

Majengo mengi yamejengwa, lakini katika jengo ambalo ni muhimu sana ambalo lilikuwa linasubiriwa kwa hamu ni lile la Huduma za Dharura ‘Emergency Department’ ambalo sasa leo tumekuja kuangalia na tumekutana na Wakandarasi na Mshauri ambao wamekuja kusimamia ujenzi huo.

Abbott Fund Tanzania wametuhakikishia kwamba watakuwa tayari kutoa pesa za ujenzi wa majengo hayo, pamoja na kuweka vifaa na mahitaji mengine ikiwemo huduma za maji zitakuwepo pale.

Pamoja na jengo lakini wataweka tanki la kuhifadhi maji lita Laki moja, lakini pia wataweka magari ya Wagonjwa ‘Ambulance’ ambayo yatakuwa yakifika sehemu itakayotokea ajali na kufika kutoa msaada wa haraka”. Alisema Ridhiwani Kikwete.

Aidha, Ridhiwani Kikwete aliongeza kuwa;”Kwangu mimi nisimame kwanza kuishukuru sana Serikali yetu chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kutusaidia kutupa mwanga ule wa nini ambacho kipo katika hili, kwa sababu kwa muda mrefu watu wa Chalinze walikuwa wanahitaji huduma hii lakini leo katika awamu ya tano tunakuja kuipata,

Lakini pili kuishukuru pia Abbott Fund Tanzania kwa msaada huu wanaokuja kutupa…. Siku zote usione vyaelea, vimeundwa, waundaji wenyewe wapo, ili jambo nimshukuru sana Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, ambaye yeye ndiye alitufungulia milango ya kuonana nao Abbott Fund na kutupa fursa ya kukutana na leo wamefika kufanya jambo hili”. Alisema Ridhiwani Kikwete.

Mbunge pia alitumia fursa ya kuwaasa Wananchi wa Chalinze, kwamba serikali yao inafanya kazi kubwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma ya afya lakini kwao wao ni kuona vifaa ama huduma hizo wanazienzi na kuzitunza.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmshauri ya Chalinze, Ramadhani Possi, alishukuru Serikali pamoja na Wadau hao, Abbott Fund Tanzania kwa kuweza kutenga fedha za ujenzi wa jengo hilo la dharura katika Halmashauri hiyo.

“Kwa niaba ya Halmashauri ya Chalinze, tunawashukuru sana wadau wetu, Abbott Fund Tanzania, kwa kuja kutujengea jengo hili la dharura hapa kwetu Chalinze.

Hii itatoa suluhisho la matatizo ambalo tulikuwa tunakabiriana nayo kwa upande wa huduma za dharura. Kwa hii ndio itakuwa Halmashauri ya kwanza ya Wilaya kuwa na jengo hili la huduma za Dharura.

Wadau hawa tayari wameshajenga majengo kama hayo ya dharura kwenye mikoa ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na sasa wanakuja hapa kwetu ambapo wametuhakikishia mpaka mwezi Disemba mwaka huu litakuwa limekamilika”. alisema Mkurugenzi huyo Ramadhani Possi.

Nae Msanifu wa majengo hayo ya Dharura kutoka Abbott Fund, Bwana. Vasco Bokera alisema ujenzi huo utaanza mara moja ambapo utachukua kuanzia miezi Saba hadi 12 hadi kukamilika kwake kulingana na hali ya hewa na mazingira.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

61 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. https://santekhnik-moskva.blogspot.com — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  3. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  4. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  5. Buy TikTok followers https://tiktok-followers-buy.com to get popular and viral with your content. All packages are real and cheap — instant delivery within minutes. HQ followers for your TikTok. 100% real users. The lowest price for TikTok followers on the market

  6. Изготовление памятников и надгробий https://uralmegalit.ru по низким ценам. Собственное производство. Высокое качество, широкий ассортимент, скидки, установка.

  7. Pin-up casino https://pin-up.jes-design.ru популярное онлайн-казино и ставки на спорт. Официальный сайт казино для доступа к играм и другим функциям казино для игры на деньги.

  8. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  9. Paul Labille Pogba https://pogba.com.az French footballer, central midfielder of the Italian club Juventus. Currently suspended for doping and unable to play. World champion 2018.

  10. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  11. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  12. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  13. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  14. Latest news and information about Marcelo https://marcelo.com.az on this site! Find Marcelo’s biography, career, playing stats and more. Find out the latest information about football master Marcelo with us!

  15. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  16. Реальные анкеты https://prostitutki-vyzvat-moskva.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  17. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  18. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  19. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  20. Latest news https://android-games-ar.com about Android games, reviews and daily updates. The latest information about the most exciting games.

  21. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  22. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  23. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  24. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  25. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  26. Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.

  27. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  28. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  29. Discover the wonderful world of online games https://onlayn-oyinlar.com with GameHub. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  30. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  31. Manchester City and Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-fr.com explosive synergy in action. How a club and a footballer light up stadiums with their dynamic play.

  32. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  33. Find the latest information on Khabib Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.uz news and fights. Check out articles and videos detailing Khabib UFC career, interviews, wins, and biography.

  34. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  35. If you are a fan of UFC https://ufc-hoje.com the most famous organization in the world, come visit us. The most important news and highlights from the UFC world await you on our website.

  36. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  37. The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.

  38. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  39. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  40. The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.

  41. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  42. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  43. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  44. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  45. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  46. The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.

  47. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  48. Bruno Miguel Borges Fernandes https://manchester-united.brunofernandes-br.com was born on September 8, 1994 in Maia, Portugal.

  49. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *