Maktaba ya Kila Siku: September 23, 2021

BALOZI ZA TANZANIA NJE YA NCHI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SIDO KUENDELEZA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI HAPA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia SIDO kushirikiana Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Balozi za Tanzania nje ya nchi katika kupata teknolojia rafiki, mitaji, kutafuta masoko ili kuendeleza viwanda vidogo …

Soma zaidi »

SEKTA YA VIWANDA IMECHANGIA KUONDOA UMASIKINI NCHINI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema sekta ya viwanda ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuondoa umaskini nchini pamoja na kuboresha maisha ya Watanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Septemba 23, 2021) baada ya kuzindua Upanuzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro akiwa katika …

Soma zaidi »

KONGAMANO LA WADAU KUHUSU UPATIKANAJI WA RASILIMALI ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI LAZINDULIWA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiteta jambo na Mkurugenzi wa REPOA Dkt. Donald Mmari (kushoto) mara baada ya kufungua Kongamano la Wadau wa Kitaifa kuhusu upatikanaji wa Rasilimali za kusaidia utekelezaji wa Mikakati ya Taifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi hii leo katika ukumbi …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA JUKWAA LA WAFANYA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA MAREKANI

Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 22 Septemba, 2021 ameshiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani na kuhimiza kuimarishwa kwa biashara kati ya mataifa hayo mawili ili kuwa na faida kwa pande zote. Rais Samia amewaeleza wafanyabiashara hao kuwa kwa sasa biashara zinazofanyika kati ya Tanzania na …

Soma zaidi »