MELI YA ABIRIA MV MBEYA II KUANZA SAFARI LEO

Meli ya abiria ya Mv Mbeya II, leo tarehe 5 Oktoba, 2020 inaanza safari yake ya kwanza ya kutoka bandari ya Itungi kwenda Mbamba bay.

Meli hiyo itapita katika bandari za Matema, Lupingu, Manda, Ndumbi, Liuli, na Mbamba bay.

Ad

Ambapo maandalizi yote yamekamilika meli inaanza safari asubuhi hii, kuanza kwa safari hizo kutatua changamoto ya usafiri katika Ziwa Nyasa wa kutoka Itungi kwenda Mbamba bay.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Serikali ya Tanzania na Czech Zakubaliana Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili

Serikali za Tanzania na Czech kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kuvutia uwekezaji kati yao. Kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *