MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akisistiza jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Ad

Unaweza kuangalia pia

Serikali ya Tanzania na Czech Zakubaliana Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili

Serikali za Tanzania na Czech kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kuvutia uwekezaji kati yao. Kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *