Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi kujitokeza kuchangia ujenzi wa viwanja vya michezo ambavyo vitasaidia katika kuibua vipaji vya michezo kwa vijana. Mheshimiwa Mwakyembe ametoa kauli hiyo leo bungeni Jijini Dodoma alipokuwa kijibu swali la nyongeza kutoka kwa …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
NAIBU WAZIRI SHONZA: WAZAZI NDIYO WALEZI WA KWANZA WA MTOTO
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amewataka wazazi na familia kuwa walezi wa kwanza kwenye jukumu la kumlea mtoto. Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mgeni Jadi Kadika (CUF) lilikokuwa likisema serikali haioni sasa ni …
Soma zaidi »MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI
TUMEDHAMIRIA KUONGEZA WIGO UPASUAJI – DKT. KAJUNGU
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mkoani kilichopo mkoani Pwani katika Halmashuri ya Kibaha Mji Dkt. Godfrey Kajungu, amesema kuwa wamejizatiti kuongeza wigo wa utoaji wa huduma za upasuaji katika kituo hicho mara baada ya serikali kuwapatia Milioni 500 katika awamu tatu ya mpango wa serikali wa kuimarisha miundombinu ya …
Soma zaidi »SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua Jengo la kisasa lililojengwa kwa kutumia teknologia ya moladi Wilayani Kondoa Akiwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa alisema miundo mbinu bora na ya kisasa katika muhimili wa Mahakama inawezesha mazingira …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI 3 WA BODI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 3 watakaoongoza bodi za taasisi 2 za Serikali na 1 ya ubia wa Serikali na Sekta Binafsi. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa kuiwakilisha Serikali katika Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania Ltd. …
Soma zaidi »KINONDONI YA TUMIA BILIONI 1.5 UJENZI WA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi na ukaratabati wa vyumba 107 vya madarasa pamoja na matundu ya choo 157 kwa wanafunzi wa shule za msingi zilizopo katika Halmashauri hiyo. Hayo yamebainisha na Afisa elimu msingi wa Halmashauri hiyo Kiduma Mageni wakati …
Soma zaidi »NATOA WITO KWA WAZAZI KUTOWARUHUSU WATOTO KUREJEA CHINA MPAKA PALE SERIKALI ITAKAPOJIRIDHISHA NA HALI INAVYOENDELEA NCHINI HUMO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wanaosoma nchini China kutoruhusu watoto hao kurudi nchini humo kwasasa mpaka pale Serikali itakapotoa tamko baada ya kupata taarifa kutoka kwa Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki kuhusu hali inavyoendelea nchini humo kufuatia ugonjwa unao sababishwa na kirusi cha …
Soma zaidi »MADINI NA VIWANDA VYALETA MAGEUZI YA UCHUMI NCHINI
Mauzo ya bidhaa nje ya nchi zisizo kuwa za kawaida yameongezeka kwa asilimia 41.9 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mwezi Novemba, mwaka jana. Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alipokuwa …
Soma zaidi »UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUKUA NA KUIMARIKA
Hali ya uchumi wa Tanzania yazidi kuimarika na kukua kwa asilimia 6.9 ikiwa ni takwimu za hadi mwezi Septemba 2019, huku lengo likiwa ni kufikia asilimia 7.0% na 7.1% . Taarifa iliyotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) Januari 20 mwaka huu, inaonesha kuwa uchumi wa dunia utakua kidogo kutoka …
Soma zaidi »