Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wataondokana na tatizo la umeme baada ya transfoma yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240 kuwasili. Transfoma hiyo itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. Kazi hii itakamilika Mwezi Mei …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
TAASISI YA (MOI) YAFANYA UCHUNGUZI WA KIBOBEZI WA MOYO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA MRI (Cardiac MRI Contrasted study).
Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study). Kipimo hicho ambacho hakijawahi kufanyika katika Hospitali ya Umma hapa nchini kipimo hicho kinaonyesha vyumba, milango, mishipa ya damu na misuli kwa ufasaha mkubwa.
Soma zaidi »RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 6 WA MAHAKAMA YA RUFANI NA MAJAJI 15 WA MAHAKAMA KUU TANZANIA.
LIVE CATCH UP -BUNGENI DODOMA: MAJADILIANO YA MISWADA ITAKAYOPITISHWA KUWA SHERIA
LIVE: Bunge la 11 Mkutano wa 13 Kikao cha Kwanza
LIVE:HAFLA YA UAPISHO WA MAJAJI 21. IKULU JIJINI DSM.
WAKUU WA MIKOA WOTE WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA NDOGONDOGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
video: NI LAZIMA VIJANA TUTUMIE FURSA EFFECTIVLY – HAJI MANARA
Aelezea namna kazi yake ya sasa inavyosaidia kumpa fursa za kujenga uchumi wake binasfi na jamii inayomzunguka Aahidi kuisaidia jamii ya Watanzania wenye albinizim Azindua bidhaa yake ya marashi katika maadhimisho ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa. tazama link hii ya video
Soma zaidi »WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI, KUANZISHA MASOKO YA MADINI
Wizara ya Madini imeanza utekelezaji wa Maagizo mbalimbali yaliyotolewana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli yenye lengo la kuboresha mchango wa Sekta ya Madini. Hayo yamesemwa na Waziri wa madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo tarehe 26 Januari 2019 wakati akitoa taarifa ya wizara …
Soma zaidi »MAGEREZA KUMI (10) YA KIMKAKATI KUZALISHA CHAKULA CHA WAFUNGWA, GEREZA SONGWE LIKIWEMO
Kamishina Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike amesema kuwa Jeshi la Magereza limeanza utekelezaji wa mpango wa miaka mitano wa kuelekea kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa magerezani katika magereza kumi (10) ya kimkakati likiwemo Gereza Songwe, lililopo Mkoani Mbeya ambalo limelima hekari 750 za zao la mahindi. Akizungumza na wanahabari …
Soma zaidi »