Jonas Kamaleki, Bunda Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Bunda, mkoani Mara. Baadhi ya wakazi wa Bunda wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwaboreshea na kuwasogezea huduma za afya hivyo kuwaondolea adha walizokuwa wakizipata kabla …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI KUGHARIMU ZAIDI YA BILIONI 89
Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali utakaogharimu zaidi ya bilioni 89 ikiwa ni ahadi aliyotoa mara baada ya kutangaza …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kulia), akifurahia jambo wakati Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma, kushoto ni Naibu …
Soma zaidi »BODI YA WAKURUGENZI YA IMF IMEIDHINISHA LEO DOLA ZA MAREKANI MILIONI 14.3 ZA MSAMAHA WA KODI WA MADENI TULIYOKUWA NAYO – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha dola za marekani milioni 14.3 za msamahaa wa kodi za madeni. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza katika uzinduzi wa Jengo la Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) mjini Dodoma. “Leo ninapozungumza tumepata …
Soma zaidi »SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA. Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji …
Soma zaidi »DKT. MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI, NAMANGA
Na WAMJW- Arusha. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba. Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya …
Soma zaidi »TTCL YASAINI MKATABA WA ZAIDI YA SH. BILIONI TANO
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe ameliagiza Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL) kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowawezesha kuyafikia maeneo kiuchumi. Kamwelwe ameyasema hayo baada ya kushuhudia zoezi la utiaji saini wa kupeleka mawasiliano vijijini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote na …
Soma zaidi »DKT. MOLLEL AONDOA UONGOZI WA HOSPITALI YA MOUNT MERU.
Na WAMJW- ARUSHA Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safi ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru inayoongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Shafii Msechu ikiwa ni sehemu ya maboresho katika Sekta …
Soma zaidi »