IKULU

RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC MHE. THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI LEO

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi amemaliza Ziara ya Kitaifa ya siku 2 aliyoifanya hapa nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Mhe. Tshisekedi ameagwa na mwenyeji wake Mhe. Rais Magufuli katika uwanja wa ndege …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO NA KUPOKEA MRABAHA KUTOKA AIRTEL IKULU DSM

  Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Juni, 2019 awaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni – 1.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara 2.Bw. Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe 3.Bw. …

Soma zaidi »