Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa CCM Dkt. Hussein Mwinyi, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS MPYA WA MALAWI DKT. CHAKWERA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi leo Julai 06,2020 kwenye Sherehe iliyofanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi.(Picha …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MALAWI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jarmhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wakiwa na Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye mara baada ya Rais Ndayishimiye kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Burundi Juni 18,2020 katika Uwanja wa Ingoma Stadium Nchini …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Dkt John Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU: MAPATO YA MFUKO WA MAZINGIRA YAAINISHWE KWENYE SHERIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema ipo haja ya kuanisha vyanzo vya mapato ya mfuko wa mazingira kwenye sheria ili kuongeza wigo katika usimamizi wa mazingira. Zungu amesema hayo leo alipokutana na wadau wa mazingira kutoka Jukwaa la Kilimo pamoja …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya Ziara katika eneo la Machinjio ya Vingunguti pamoja na eneo la mtaa wa Songas lililopo Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, yenye lengo la ukaguzi wa Mazingira katika maeneo hayo. Katika Mradi wa Machinjio ya …
Soma zaidi »UBORA WA MAZINGIRA YETU NDIO UHAI NA USTAWI WETU – WAZIRI ZUNGU
Na Lulu Mussa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema suala la mabadiliko ya tabianchi halitambui mipaka ya kijiografia wala ya kisiasa, hivyo, juhudi za kukabiliana na changamoto hii zinahitaji ushirikiano wa pamoja baina ya Jumuiya za Kimataifa. Hayo ameyasema hii leo Jijini Dodoma …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ATAKA KUFANYIKA TATHMINI KATIKA MAENEO YOTE YA MIGODI NA WACHIMBAJI WADOGO ILI KUBAINI KIWANGO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 6 Juni, 2020 amekutana na Viongozi na Watumishi Waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage uliopo katika Jengo la …
Soma zaidi »