Makamu wa Rais

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA – MIFUKO MBADALA ISIYOKIDHI VIWANGO MARUFUKU NCHINI

Serikali imesema kamwe haitaruhusu uzalishaji, uingizaji na matumizi ya mifuko mbadala aina ya Non-Woven isiyokidhi viwango vya 70 Gram Per Square Metre (GSM) kutumika nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mussa Sima katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza na kutatua …

Soma zaidi »