RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Bunge kwa ajili ya kuhutubia na kulifunga Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Bunge pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kuhutubia. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *